‘Ndugai anamchonganisha Prof. Assad na Rais’

HATUA ya Job Ndugai, Spika wa Bunge kumwingiza Rais John Magufuli kwenye mgogoro wake na Prof. Mussa Assad, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), imekosolewa. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Ushirika wa vyama vinane vya upinzani nchini, umemtaka Spika Ndugai kuacha kuhusisha mgogoro wake na Ofisi ya Rais na kwamba, kufanya hivyo ni ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Monday, 15 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News