‘Pelekeni nakala ya vyeti vya ndoa RITA vikasajiliwe’

Asha Bani, Dar es Salaam Serikali kupitia Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA), imezitaka taasisi za dini na wasajili wote wa ndoa nchini, kuhakikisha  wanarudisha nakala za vyeti vya ndoa kwa wakati ili ziweze kuingizwa kwenye daftari la Msajili Mkuu wa Ndoa. Agizo hilo limetolewa na Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa RITA, Emmy Hudson jijini Dar es Salaam, wakati akizungumza na Mtanzania Digital. “Viongozi wengi wanaofungisha ndoa katika makanisa na misikiti wamekuwa wakichelewa na wengine kutopeleka kabisa nakala za marejesho ya ndoa katika Ofisi ya Msajili Mkuu wa Ndoa...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - 7 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News