‘SEKTA BINAFSI RUKSA KULIPA MSHAHARA ZAIDI YA KIMA CHA CHINI’

Mwandishi Wetu, Dodoma Serikali imesema sekta binafsi wanaruhusiwa kuwalipa watumishi wake zaidi ya kiwango cha kima cha chini cha mshahara pale ambapo wanaona kufanya hivyo itaongeza motisha kwa wafanyakazi wao. Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu Wenye Ulemavu, Anthony Mavunde, amesema bungeni jijini Dodoma leo Jumanne Septemba 11, akijibu swali la Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema (Chadema), aliyeuliza katika kipindi cha na maswali na majibu bungeni endapo serikali haioni haja ya kuboresha mishahara yake na kuzielekeza sekta binafsi kulipa mishahara inayoendana...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Tuesday, 11 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News