“Ingekuwa masumbwi Taifa Stars isingepangwa na Uganda”-Kiemba

Mchezaji wa zamani wa Taifa Stars Amri Kiemba amesema ingekuwa ni mchezo wa masumbwi timu Taifa Stars isingepangwa na Uganda kwa sababu timu hizo mbili hazipo kwenye mizani sawa. “Naipongeza timu kwa matokeo yaliyopatikana, inawezekana kuna wengine bado wanabeza kwa kutokujua uzito wa timu ya taifa ya Uganda”-Amri Kiemba, mchezaji wa zamani Taifa Stars. “Kwa kipindi chote ambacho nimecheza na timu ya taifa ya Uganda hasa inapokuja mechi ya nyumbani kwao huwa ni mchezo mgumu sana husan kwenye uwanja wa Namboole. Kwa matokeo yale nawapongeza wachezaji na benchi la ufundi...

read more...

Share |

Published By: Shaffih Dauda - Monday, 10 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News