Aussems: Tunaanza upyaaa

*Akubali kipigo cha Kagera Sugar, ataka vijana wake wainyooshe Alliance ZAITUNI KIBWANA KOCHA wa Simba, Patrick Aussems, amekubali kipigo cha mabao 2-1 dhidi ya Kagera Sugar mwishoni mwa wiki iliyopita katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, sasa anataka kuanza upya kesho atakapovaana na Alliance FC. Mtanange huo ambao Simba ilipokea kichapo hicho ulichezwa kwenye Uwanja wa Kaitaba, mjini Bukoba, hivyo kocha huyo amekubali yaishe na sasa ameelekeza akili zake kwa Alliance. Akizungumzia mchezo huo, Aussems alikubali kuwa timu yake haikucheza vizuri katika kipindi cha kwanza na kushindwa hata kutengeneza...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Monday, 22 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News