Bosi wa Samatta aipa Yanga vifaa

NA HUSSEIN OMAR YANGA wamepata bonge la zali baada ya kuletewa vifaa na Meneja wa Mtanzania anayetamba Ulaya akiitumikia klabu ya Genk ya Ubelgiji, Mbwana Samatta. Meneja huyo ni Jamal Kisongo na kwamba tayari wachezaji wameanza mazoezi jana tayari kuona kama wanaweza kumshawishi Kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera, kuelekea usajili wa msimu ujao. Wachezaji hao wanatoka nchi za ukanda wa Afrika Magharibi unaosifika kuwa ni nyota wapambanaji wenye kiu ya kucheza soka la kulipwa Ulaya. Kati yao, wawili wanatoka nchini Nigeria, ambao ni Victor Akpan na Shehu Magaji, Alex...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Saturday, 25 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News