Djuma awapa neno Simba

NA ZAINAB IDDY ALIYEKUWA kocha msaidizi wa Simba, Masoud Djuma, amewaambia Wekundu hao wa Msimbazi kuwa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya JS Saoura ya nchini Algeria, ni mgumu na unahitaji umakini kwani lolote linaweza kutokea. Mchezo huo wa kwanza wa Kundi D  unatarajiwa kuchezwa leo katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Akizungumza na BINGWA kutoka nchini Rwanda, Djuma alisema wapinzani wa Simba ni wazuri hivyo wanatakiwa kuwa makini kwa kila nafasi watakayopata. “Siku zote Waarabu wanafahamika ni wazuri na kama wakipata nafasi tatu ni lazima...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - 5 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News