Dk. Salmin apongezwa kwa fursa za uwekezaji

KHAMIS SHARIF, ZANZIBAR RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, amempongeza Rais Mstaafu wa Zanzibar, Dk. Salmin Amour Juma, kwa kuamua kutenga maeneo huru ya uwekezaji ambayo yamechochea kwa kiasi kikubwa ukuaji wa uchumi. Pamoja na hilo amesema hatua hiyo imesaidia kukua kwa  maendeleo ya jamii na ujenzi wa miundombinu jambo ambalo linapaswa kuzingatiwa na kila mwananchi wa Zanzibar. Kauli hiyo aliitoa jana mjini hapa alipotembelea eneo la uwekezaji unaofanywa na Kampuni ya Union Property ambayo imejenga Shule ya Sekondari ya Kombeni mjini...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - 5 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News