Jeshi la Sudan lageukwa, lakaribisha mazungumzo

KHARTOUM, SUDAN IKIWA ni siku moja tu tangu Jeshi la Sudan kumwondoa Rais Omar al Bashir madarakani, maelfu ya waandamanaji wameweka kambi nje ya Wizara ya Ulinzi mjini Khartoum kushinikiza iundwe serikali ya kiraia, na kukaidi amri iliyotolewa na baraza la mpito la kijeshi ya kutotoka nje usiku, pamoja na kuyapatia mwaliko wa mazungumzo makundi ya kisiasa kwa madhumuni ya kurejesha utulivu nchini humo. Vyombo vya habari nchini Sudan vimeripoti kuwa, waandamanaji hao ambao wamekuwa wakiandamana karibu kila siku kuipinga serikali ya Omar al-Bashir, ambaye ameitawala Sudan kwa miaka 30,...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Saturday, 13 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News