Kocha Sevilla akiri Simba kiboko, wamtaja Niyonzima

THERESIA GASPER KOCHA Mkuu wa Sevilla ya Hispania, Joaquin Caparos, amekisifia kikosi cha Simba kutokana na kiwango walichokionyesha katika mchezo wa kirafiki uliochezwa juzi kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Katika mchezo huo wa kusisimua, Sevilla walishinda mabao 5-4, ikiwa ni baada ya kuwa nyuma kwa mabao 3-1 hadi kipindi cha kwanza kinamalizika. Akizungumza baada ya mchezo huo, Caparos alisema kipindi cha kwanza Simba walicheza vizuri na kufunga mabao matatu, lakini mabadiliko aliyofanya yalimsaidia na kupata ushindi. “Awali, tuliona mchezo ni rahisi, lakini tumecheza na timu ambayo ni...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Saturday, 25 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News