Samia kumrithi JPM 2025?

JAVIUS KAIJAGE Ni wazi kwamba kutokana na mchakato wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika kumpata mpeperusha bendera kuwa mrefu, wakati mwingine hupelekea kuwa vigumu kumbaini mhusika atakayeibuka kidedea.      Nasema huwa ni vigumu kumbaini mpeperusha bendera wa chama hicho kikongwe nchini, kwani historia yake katika baadhi ya matukio inaonyesha hivyo.        Katika uchaguzi mkuu wa kwanza katika mfumo wa vyama vingi mwaka 1995, jina la Benjamin Mkapa (Rais wa Awamu ya Tatu), ambaye kimsingi pamoja na kuwa aliwahi kuwa mwandishi wa habari wa Mwalimu Nyerere huku akishika nyadhifa mbalimbali za uongozi kitaifa...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Wednesday, 15 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News