Shahidi: Nilimuona Mbowe akisogelea polisi

PATRICIA KIMELEMETA-DAR ES SALAAM SHAHIDI wa pili katika kesi ya uchochezi inayowakabili viongozi tisa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema), Shaban Abdallah (19), ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa alimuona Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe, akiwahamasisha wananchi kuendelea kuandamana huku akiwasogelea polisi licha ya tangazo la kuwataka kutawanyika kutolewa na askari hao. Shahidi huyo ambaye ni mchomelea vyuma na mkazi wa Kinondoni Moscow, alieleza hayo   jana mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Thomas Simba, wakati   akiendelea na ushahidi wa upande wa Jamhuri. Akiongozwa na wakili wa Serikali Mkuu, Paul...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Wednesday, 15 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News