Shilole kuuza chakula kwenye reli ya kisasa

NA JEREMIA ERNEST-MOROGORO MSANII wa Bongo Fleva na mjasiriamali, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, ameuomba uongozi wa Shirika la Reli nchini kumpa dili la kuuza chakula katika ujenzi wa reli mpya ya kisasa unaoendelea kutoka Dar es Salaam kuelekea Morogoro. Hatua hiyo imekuja baada ya Shilole kuwa miongoni mwa wasanii waliotembelea ujenzi wa reli ya kisasa unaoendelea na kuona kuna fursa ya kuuza chakula kupitia mgahawa wake wa Shishi Food. Akizungumza na Papaso la Burudani jana mkoani hapa, Shilole alisema: “Tunatakiwa kula vyakula vya kitamaduni, hasa katika mradi mkubwa kama huu, naomba...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Friday, 8 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News