TFS yafunga mtambo wa kuchakata asali Manyoni

Mwandishi Wetu Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), imefunga mtambo wa kuchakata mazao ya nyuki wilayani Manyoni mkoani Singida wenye uwezo wa kuchakata asali lita 500 kwa siku. Mtambo huo uliogharimu Sh milioni 80, unatarajiwa kuondoa tatizo la ubora duni wa asali na nta katika ukanda huo na maeneo ya jirani. Mkuu wa Kitengo cha Mawasilino wa TFS, Tulizo Kilaga amesema mtambo huo umefungwa katika kiwanda chao lakini pia wafugaji wa nje wataruhusiwa kuchakata mazao yao. “Kiwanda kwa kiasi kikubwa kitategemea malighafi toka kwenye misitu uliopo Itigi na katika...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - 4 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News