YANGA NJAA KWISHA

*Mashabiki waishio ughaibuni wacharuka katika kuichangia timu yao *Wasema wamechoka kubezwa na Simba, Dola za Marekani zazidi kumiminika Jangwani NA TIMA SIKILO MAMBO yamezidi kupamba moto Yanga kwani wadau wa klabu hiyo wameendelea kuichangia ili kukabiliana na changamoto ya kifedha inayowakabili kiasi cha kushindwa kulipa mishahara na posho za wachezaji. Wiki iliyopita, Kocha Mkuu wa Yanga, Miwnyi Zahera, alitinga ofisi za BINGWA na DIMBA zilizopo Sinza Kijiweni, Dar es Salaam, kuwasilisha kilio chake kwa mashabiki na wanachama wa klabu hiyo kuichangia ili msimu ujao aweze kusajili kikosi cha ‘kufa mtu’...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - 5 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News