Zahera jeuri aisee

NA HUSSEIN OMAR MAMILIONI yaliyokusanywa na klabu ya Yanga kupitia mpango wao wa mashabiki kuichangia, yameendelea kumpa jeuri kocha mkuu wa timu hiyo, Mwinyi Zahera, ambaye ametangaza msimu ujao kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara mapema tu akiwa na mechi kibao mkononi. Sambamba na hilo, Zahera amedai kuwa kutokana na mapenzi yake aliyonayo kwa Yanga, amekataa kitita cha Dola za Marekani 15,000 (takribani Sh milioni 32) alizotaka kupewa na viongozi wa Buildcon ya Zambia ili aionoe timu yao. Akizungumza katika hafla ya kuwafuturisha na kuwapongeza wachezaji wa Yanga kutokana...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Monday, 20 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News