ACACIA KUHAMISHIA VITENGO VINGI TANZANIA

Mwandishi wetu KAMPUNI ya uchimbaji madini ya Acacia, imetangaza mpango wa kuhamishia vitengo vyake vingi zaidi nchini na kuongeza matumizi ugavi ya mwaka kutoka kwa watoa huduma wa ndani. Taarifa ya Acacia iliyotolewa jana inasema kampuni hiyo inaendelea kutekeleza mipango ya kuhamishia vitengo muhimu vinavyohudumia biashara zake nchini ikiwamo  ugavi, mauzo na ulipaji wa mishahara. “Vitengo hivi vitahamishiwa Dar es Salaam au ambako italeta maana zaidi kwa biashara, katika migodi yake iliyopo kanda ya ziwa. “Mabadiliko haya ni sehemu ya mpango wetu wa muda mrefu ambao tunalenga biashara yetu ya...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Wednesday, 19 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News