Achomwa moto kwa kuiarifu polisi tukio la kutaka kubakwa

Msichana mmoja Nusrat Jahan Rafi amemwagiwa mafuta ya taa na kuchomwa moto shuleni kwake katika mji Dhaka kitongoji cha Feni nchini Bangladesh baada ya kutoa taarifa polisi za kunyanyaswa kingono na mkuu wake wa shule....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Monday, 22 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News