ACT- Wazalendo Waichambua Ripoti ya CAG

MBUNGE wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe ameichambua ripoti ya Mkaguzi na mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG, Progesa Mussa Assad aliyoitoa hivi karibuni ambapo pamoja na mambo mengine amesema kuwa katika taarifa hiyo amebaini kuwa Bajeti inayopitishiwa na Bunge sio Bajeti halisi.Leo Jumapili Aprili 14, 2019 wakati akifanya uchambuzi wa ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka 2017/18, Zitto amesema makusanyo yetu ya kodi bado ni kidogo (tax yield) na Tanzania ni ya mwisho katika nchi...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Sunday, 14 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News