ACT Wazalendo Wakerwa na Kauli za UVCCM.....Watoa Tamko

Ngome ya vijana ya Chama cha ACT-Wazalendo imelitaka Jeshi la Polisi kuanza kuchukua hatua kwa mambo yanayofanywa na Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) kabla hawajaanza kuwashughulikia.Wameyasema hayo leo Jumapili Februari 10, 2019 ikiwa ni siku chache tangu kusambaa kwa kipande cha video kilichokuwa kikionyesha vijana hao wakishangilia na kutamka maneno kuwa mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu apigwe.Akizungumza na waandishi wa habari leo mratibu wa ulinzi na usalama ngome ya vijana Taifa, Kudra Garula amesema vijana hao wamekuwa wakitoa maneno ya kichochezi na kuashiria vitendo vya...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Sunday, 10 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News