ACT-Wazalendo washtukia polisi
CHAMA cha ACT-Wazalendo kimetilia shaka maelezo ya Jeshi la Polisi kuhusu mauaji ya kijana Isaka Petro aliyofanyika katika Kanisa la Sabato wilayani Itigi, Singida. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Akizungumza na waandishi wa habari leo tarehe 8 Februari 2019 Ado Shaibu, Katibu wa Itikadi, Mawasiliano na Uenezi wa chama hicho amesema, maelezo ya polisi yametofautiana na ......
Published By: MwanaHALISI Online - Friday, 8 February
Toa Maoni yako hapa - Add your comment