ACT-Wazalendo yataja mmiliki wa kadi No. 1 kabla ya Maalim Seif

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimeeleza kwamba, Maalim Seif Shariff Hamad amepewa kadi namba moja ili kumsahau aliyekuwa mmiliki wa kadi hiyo, Wakili Albert Msando. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea).  Maalim Seif, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), alihamia Chama cha ACT-Wazalendo na kupewa kadi No. 1 kutokana na mgogoro wake na Prof. Lipumba, mwenyekiti ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Friday, 12 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News