Afcon 2019: Kwa nini Sadio Mane hatoshirki katika mechi kati ya Senegal na Tanzania?

Mkufunzi wa Senegal Aliou Cisse amethibitisha kuwa nyota wake wa Liverpool sadio mane amepigwa marufuku ya mechi moja hivyobasi hatoshiriki katika mechi ya ufunguzi dhidi ya Tiaf Stars ya Tanzania...

read more...

Share |

Published By: BBC Swahili - Saturday, 15 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News