Aibu Ikulu, Mtoto wa Rais ashikiliwa kwa utakatishaji fedha

VYOMBO vya dola nchini Angola vimemuweka kizuizini Jose Filomeno Dos Santos, mtoto wa rais wa zamani wa nchi hiyo, Jose Eduardo Dos Santos kutokana na kesi ya utakatishaji fedha inayomkabili. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Mwana huyo wa rais anatuhumiwa kufanya utakatishaji fedha kiasi cha dola za kimarekani 500 milioni, fedha anazodaiwa kuzihamisha kinyume na ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Tuesday, 25 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News