AIC Tanzania kutumia Jumapili ya Agosti 18 kuombea majeruhi wa ajali ya moto Morogoro

Askofu mkuu wa Kanisa la African Inland Church (AIC) Tanzania, Musa Magwesela amewataka wachungaji na waumini wa kanisa hilo kote nchini, kuitumia Ibada ya Jumapili Agosti 18, 2019 kuwa siku maalumu ya maombi kwa ajili ya kuwaombea majeruhi na familia zilizopoteza wapendwa wao katika ajali ya moto iliyotokea  Agosti 10,2019 eneo la Msamvu mkoani Morogoro...

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - 3 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News