AJALI KWA WAANDISHI NI MIPANGO YA MUNGU AU ….

Na BENJAMIN MASESE-MWANZA Septemba 3 na 9, mwaka huu ni siku ambayo waandishi wa Mkoa wa  Mwanza na Simiyu hawawezi kuisahau hasa wale waliokuwa katika msafara wa Rais Dk. John Magufuli  kutokana na kupata misukosuko iliyokuwa na taswira ya kupoteza uhai wao. Waandishi wa Mwanza walipata ajali Septemba 3, mwaka huu katika eneo la Suguti Wilaya ya Bunda mkoani Mara, wakati msafara wa Rais Magufuli ukielekea Wilaya ya Ukerewe kwa ajili ya uzinduzi wa miradi ya maendeleo na kuwahutubia wananchi wa wilaya hiyo. Tunashukuru Mungu hakuna  vifo vilivyotokea isipokuwa...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Tuesday, 11 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News