Ajali ya Gari la Kubeba Mbao Yaua Watu Wanne Rombo

Na Dixon Busagaga,Rombo.Watu  wanne wakiwemo wawili wa familia moja wamefariki dunia papo hapo baada ya gari walilokuwa wakisafiria aina ya Isuzu kuacha njia na kwenda kugonga gema katika eneo la Kikelelwa wilayani Hai.Waliofariki dunia wametambulika kwa majina ya Emanual Josephat Silayo (28) ,Viviano silayo (35) wakazi wa Mbomai Juu,Juma Idd (20) maarufu kama mwarabu na mwingine aliyefahamika kwa jina moja la Deolla .Kamanda wa polisi mkoa wa Kilimanjaro Hamis Issah aliyefika eneo la tukio amethibitisha kutokea kwa ajalo hiyo na kwamba dereva wa Loli hilo lililokuwa limebeba mbao alikimbia kusiko...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Monday, 10 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News