Ajali ya ndege yavuruga mpango wa ubalozi wa Ethiopia nchini

Ajali ya ndege aina ya Boeing 737 Max 8 iliyotokea nchini Ethiopia wiki hii, imevuruga mipango iliyokuwa imewekwa na Ubalozi wa nchi hiyo ya kuwasafirisha wahamiaji haramu 285 kutoka nchi hiyo waliomaliza vifungo vyao katika Gereza la Maweni, Tanga....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - 5 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News