Ajali yawapeleka mawaziri Mbeya

Siku mbili baada ya kutokea kwa ajali iliyosababisha vifo vya watu 15 na majeruhi 15 jijini Mbeya Ijumaa iliyopita, Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Yusuph Massauni ameagiza kukamatwa kwa mmiliki wa Lori lililosababisha ajali na ili athibitishe kama gari lake lilistahili kuwapo barabarani na kama dereva wake alikuwa na ujuzi unaokubalika kisheria kuendesha gari....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Monday, 10 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News