AJIBU : Jinsi tulivyojichimbia kaburi Serengeti Boys

SAFARI ya Timu ya Taifa ya Tanzania chini ya umri wa miaka 17 ‘Serengeti Boys’ kwenye Fainali za Mataifa ya Afrika kwa Vijana chini ya Umri wa miaka 17 (AFCON U17) imefikia kikomo juzi Jumamosi baada ya kuchapwa mabao 4-2 dhidi ya Angola kwenye mchezo wa mwisho wa Kundi A la mashindano hayo....

read more...

Share |

Published By: Mwana Spoti - Monday, 22 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News