Al Shabaab wadaiwa kuteka madaktari wa Cuba

NAIROBI, KENYA MADAKTARIwawili raia wa Cuba ambao wanafanya kazi nchini Kenya wanadaiwa kutekwa nyara na watu wanaotajwa kuwa wapiganaji wa kundi la Al Shabaab katika mji wa Mandera, nchini humo. Kwa mujibu wa taarifa ya Shirika la Utangazaji la Uingereza, BBC, tukio hilo limetokea mapema jana, wakati madaktari hao wakielekea kazini katika mji huo uliopo katika eneo la Kaskazini Mashariki mwa Kenya. Aidha, limesema kuwa mwandishi wake katika eneo hilo la Mandera, Bashkas Jugosdaay, ameripoti kuwa walinzi wa madaktari hao wameuawa na watekaji ambao wamefanikiwa kutoroka kwa kutumia gari aina...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Saturday, 13 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News