Alichokisema Katibu Mkuu CHADEMA Baada ya Maalim Seif Kuhamia ACT- Wazalendo

Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Dkt Vincent Mashinji amempongeza aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF kwa hatua yake ya kujiunga na Chama cha ACT- Wazalendo na kusema uamuzi wake ni sahihi.  "Nimpongeze kwa uamuzi wake wa kuendelea na shughuli za kisiasa na kupigania mabadiliko kwenye taifa letu, watu wengi walitegemea yeye kupumzika lakini amejipima na ameona anahitaji kuendelea kufanya kazi ni hatua kubwa kwetu sisi wapinzani." Amesema  Dkt Vincent Mashinji Mapema leo Machi 18, 2019 Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es salaam,...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Monday, 18 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News