Alichokisema Makamu wa Rais Kuhusu Ahadi ya Milioni 50 kwa Kila Kijiji

Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan, amesema wananchi wasitegemee kupelekewa fedha Sh. milioni 50 walizoahidi mwaka 2015 katika kipindi cha uchaguzi kwa kila kijiji. Ameyasema hayo jana Septemba 10, 2018, katika mkutano wa hadhara katika Kijiji cha Kazuramimba wilayani hapa mkoani Kigoma, kwamba hawatapelekewa fedha hizo na badala yake zitapelekwa kufanya miradi mbalimbali ya maendeleo.Alisema kuliko kuwapa fedha hizo kwa kila kijiji Serikali imeamua kuwekeza katika elimu, afya, barabara pamoja na maji lengo ni kupeleka maendeleo katika nchi."Serikali ya awamu ya tano imeamua kujitegemea katika kujitegemea lazima tujiwekee mikakati kuleta...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Tuesday, 11 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News