Aliemteka Mtoto na kumnyonga Mbeya amekamatwa na Jeshi la Polisi

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia mtu mmoja [Jina linahifadhiwa] kwa tuhuma za mauaji ya mtoto aitwaye JUNIOR BAKARI @ SIAME [12] Mwanafunzi Shule ya Msingi Hayanga Darasa la III na Mkazi wa Hayanga.Marehemu alitoweka nyumbani kwao tangu tarehe 09.04.2019 saa 16:00 jioni wakati anatoka masomo ya ziada na ndipo mtuhumiwa hayo alimteka na kuondoka naye kusikojulikana na baadae mtuhumiwa alipiga simu kwa baba mzazi wa mtoto huyo aitwaye BAKARI SIAME akihitaji kupatiwe fedha Milioni Kumi [Tshs.10,000,000/=] ili aweze kumuachia mtoto huyo ila alimnyonga shingo na kumuua na kukimbilia...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Monday, 15 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News