Aliyedaiwa kuiba Sh mil saba kila dakika Asomewa Mashitaka Mapya 600

Mfanyabiashara Mohamed Yusufal aliyetajwa na Rais John Magufuli kuiba Mil.7 kwa dakika na mfanyakazi wake, Arital Paliwala wamesomewa mashtaka 600 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ikiwemo kuisababishia serikali hasara ya Bilioni 14.98.Washtakiwa hao wamesomewa mashtaka yao na jopo la Mawakili wa serikalo wakiongozwa na Hashimu Ngole mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Wilbard Mashauri.Katika mashtaka hayo yaliyosomwa kwa takribani saa mbili, washtakiwa wanakabiliwa na mashtaka ya kula njama, kughushi, kuwasilisha taarifa za mwezi za mahesabu ya uongo kwa TRA, kukwepa kodi na kuisababishia serikali hasara ya sh. 14,987,707,044.58Miongoni mwa mashtaka...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - 7 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News