Aliyemuua Mkewe kwa kumchoma Moto Atoa Vitisho Mahakamani...."Nitafanya Kitu Kibaya Hadi Mahakama Itashangaa"

Mshtakiwa anayekabiliwa na kesi ya kumuua na kumchoma moto mkewe Naomi Marijani, Hamis Said, ametoa tishio kwa waandishi wa habari wanaompiga picha anapowasili mahakamani ambapo amesema akimkamata mmoja wao atamfanya kitu kibaya ambacho mahakama haitakitarajia. Mfanyabiashara huyo ambaye yupo gerezani kwa siku 14 tangu alipofikishwa mahakamani hapo Julai 30, 2019 ameyaeleza hayo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Salum Ally.“Mheshimwa Hakimu tangu nimefika hapa naona waandishi wa habari wamekazana kunipiga picha sana, yaani mpaka nimeingia humu ndani bado wananipiga picha tu bila kujua kwenye akili yangu nawaza nini, unajua mimi kwa...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Tuesday, 13 August

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News