Aliyeongoza kumng’oa  Rais al-Bashir Sudan ajiuzulu

MKUU wa Jeshi la Sudan, Awad Ibn Auf aliyeongoza mapambano ya kumng’oa madarakani Rais wa nchi hiyo, Omar al-Bashiri amejiuzulu katika wadhifa wa uongozi wa Baraza la Jeshi linalo ongoza nchi hiyo katika serikali ya mpito ya miaka miwili. Inaripoti Mitandao ya Kijamii…(endelea). Ibn Auf ambaye ni Waziri wa Ulinzi SudaN, ametangaza uamuzi huo leo ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Friday, 12 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News