Aliyetajwa na Magufuli, wenzake waachiwa huru

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewafutia mashtaka mfanyabiashara aliyetajwa na Rais John Magufuli kuwa alikuwa akiibia Serikali takriban Sh7 milioni kwa dakika, Mohamed Mustafa Yusufali na wenzake wane hata hivyo wamekamatwa tena na kepelekwa mahabusu...

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - 6 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News