Aliyetajwa na waziri Lukuvi kukwepa kodi ya ardhi afunguka

Mkurugenzi mtendaji na mmiliki wa Mbeya Hoteli ya jijini Mbeya, Shamash Walji amejitokeza na kuweka msimamo wake juu ya ulipaji wa deni la kodi ya ardhi analodaiwa baada ya Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi kudai kuwa kiasi anacholipa hakiendani na ukubwa na eneo analomiliki na kulitumia....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Tuesday, 13 August

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News