Amber Ruth akana kufanya ngono kinyume cha maumbile

SERIKALI imekamilisha upelelezi wa kesi ya kufanya ngono kinyume na maumbile inayomkabili msanii Rutyfiya Aboubakary ‘Amber Ruth’ na mumewe Said Mtopali kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Leo tarehe 11 Februari Faraji Nguka, Wakili wa Serikali, ameeleza hayo mbele ya Hakimu Mkazi Augustine Rwizile. Hata hivyo washtakiwa wamekana kufanya ngono ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Monday, 11 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News