Amber Ruth akana kufanya ngono kinyume cha maumbili
SERIKALI imekamilisha upelelezi wa kesi ya kufanya ngono kinyume na maumbile inayomkabili msanii Rutyfiya Aboubakary ‘Amber Ruth’ na mumewe Said Mtopali kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Leo tarehe 11 Februari Faraji Nguka, Wakili wa Serikali, ameeleza hayo mbele ya Hakimu Mkazi Augustine Rwizile. Hata hivyo washtakiwa wamekana kufanya ngono ......
Published By: MwanaHALISI Online - Monday, 11 February
Toa Maoni yako hapa - Add your comment
Related News
- In the last 2 days
- Wema Sepetu akana kuchapisha video ya ngono Mtandaoni
Mpekuzi Huru (2 days ago) - Msanii wa Filamu Nchini, Wema Sepetu (30) amekana mahakamani tuhuma za kuchapisha video ya ngono...