Ambokile kuhusu kwenda Yanga, Simba

Akiwa uwanjani hutumia nguvu, kasi na akili, ukitazama kwenye orodha ya wafungaji wa ligi kuu Tanzania bara hadi sasa yeye ndio kinara wa kuzipasia nyavu akiwa ameshafunga magoli tisa (9) namzungumzia mshambuliaji wa Mbeya City Eliud David Ambokile. Msimu uliopita alimaliza akiwa na mabao 10, nini kinamfanya Ambokile awe bora? “Kikubwa ni kujitambua, kujituma na kusikiliza maelekezo ya wenzako na maelekezo ya mwalimu. Kingine kinachonifanya nionekane bora ni kutokana na timu yangu tunavyopeana ushirikiano kuanzia wachezaji benchi la ufundi na uongozi.” Anafanya nini anapokuwa nje ya uwanja “Napenda sana kushinda...

read more...

Share |

Published By: Shaffih Dauda - Thursday, 6 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News