AMREF HEALTH AFRICA YAZINDUA MRADI WA HUDUMA YA KUFUBAZA VVU NA UKIMWI KATIKA MKOA WA TANGA NA ZANZIBAR

MKUU wa Mkoa wa Tanga Martine Shigella akizungumza wakati uzinduzi wa mradi wa afya kamilifu wa huduma na matibabu ya kufubaza virus vya Ukimwi katika mikoa ya Tanga na Zanzibar. Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga Mhandisi Zena Saidi akizungumza wakati wa uzinduzi huoMkurungenzi Mkazi wa Amref Health Afrika Dkt Florence Temu akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya uzinduzi huoMENEJA wa mradi wa Afya kamilifu Dkt Edwin kilimba akizungumza wakati wa uzinduzi huoMKUU wa Mkoa wa Tanga Martine Shigella akizundua mradi huo Sehemu ya wakuu wa wilaya waliohudhuria uzinduzi...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Monday, 15 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News