AMUNIKE ASALIMU AMRI KWA NYONI, MKUDE

NA MWAMVITA MTANDA   KOCHA mkuu wa timu ya Taifa, Taifa Stars, Emmanuel Amunike, amesema atawajumuisha kikosini mwake nyota kadhaa wa Simba, wakiwamo kiungo mkabaji, Jonas Mkude. Mbali ya fundi huyo, wachezaji wengine aliowataja ni beki Erasto Nyoni na mshambuliaji, John Bocco. Mnigeria huyo amefikia uamuzi huo kutokana na kile alichodai kubaini pengo la nyota huyo na wenzake kadhaa wakati Stars ilipomenyana na Uganda mwishoni mwa wiki iliyopita. Katika mchezo huo wa kuwania kufuzu fainali za Kombe la Mataifa Afrika (Afcon) uliopigwa kwenye Uwanja wa Mandela, mjini Namboole, Kampala, Uganda,...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Friday, 14 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News