Amunike ; hatujatoka kapa kwa Misri

NA MOHAMED KASSARA -DAR ES SALAAM LICHA ya kupoteza mchezo wa kirafiki dhidi ya Misri, Kocha Mkuu wa timu ya Taifa Tanzania, ‘Taifa Stars’, Emmanuel Amunike amesema ameridhishwa na kiwango kilichoonyeshwa na wachezaji wake, katika mchezo huo. Stars ilikubali kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa wenyeji wa fainali za Mataifa Afrika (Afcon), Misri katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki uliochezwa juzi kwenye Uwanja wa Borg El Arab, Alexandria. Mchezo huo ulikuwa wa kujipima nguvu, kwa ajili ya kujiandaa na fainali hizo zitakazoanza kutimua vumbi Juni 21, mwaka huu. Katika michuano...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Saturday, 15 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News