AMUNIKE : NIMERIDHISHWA KIWANGO TAIFA STARS

NA MWANDISHI WETU KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Emmanuel Amunike, amesema ameridhishwa na kiwango kilichoonyeshwa na nyota wake katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Misri. Mchezo huo wa kwanza wa kujiandaa na Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon2019), uliochezwa juzi usiku, kwenye Uwanja wa Borg El Arab, Alexandria, nchini Misri. Akizungumza kutoka Misri jana, Amunike, alisema licha ya kufungwa bao 1-0 na wenyeji wa michuano Afcon, amekoshwa na kiwango cha wachezaji wake. Amunike, alisema wamekutana na moja ya timu bora ya taifa katika...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Saturday, 15 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News