Aron Karambo anukia Yanga

NA TIMA SIKILO KIPA wa timu ya Tanzania Prisons, Aaron Karambo, amehusishwa na kusajiliwa ndani ya kikosi cha Yanga kuelekea katika usajili wa wachezaji Ligi Kuu Tanzania Bara. Awali, Kocha Mkuu wa timu hiyo, Adolph Rishard, alidai anahitaji kusajili golikipa wa ndani ambaye anafanya vizuri. Kigogo mmoja wa Yanga aliliambia BINGWA kuwa, inaonekana dhahiri kwamba viongozi wanamtaka Karambo. Alisema bado hawajazungumza naye lakini ndio mchezaji anayetajwatajwa sana katika usajili wa eneo hilo. “Wachezaji wanaotakiwa ni wengi lakini kwa wa ndani wanaotajwa ni Aron Karambo, Kenny Ali (Singida) pamoja na Farouk...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Thursday, 16 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News