Askari adai wanafunzi walikiri kusambaza picha za Magufuli akiwa amevaa Hijab

Askari polisi, Anakreti Telesphory (32) wa kitengo cha upelelezi wa makosa ya mtandao ameieleza mahakama ya Wilaya ya Ilala alivyowahoji wanafunzi watatu wa Chuo Kikuu cha Kampala (Kiu) waliokiri kusambaza mtandaoni picha za Rais wa Tanzania, John Magufuli ikimuonyesha amevaa Hijab....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - 6 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News