Askari Saba wa " Dhahabu Mwanza" Wasimamishwa Kazi Kwa Kuomba Rushwa

Jeshi la Polisi Tanzania  tarehe 11/01/2019, limewasimamisha kazi askari saba (7) wa vyeo mbalimbali kwa kutenda kosa kinyume na mwenendo mwema wa Jeshi la Polisi na tayari wamefikishwa mahakamani kusomewa mashitaka yanayo wakabili.Hatua hii imechukuliwa, baada ya askari hao kuomba rushwa ya bilioni moja na baadae kupokea rushwa ya milioni mia saba toka kwa mfanyabiashara wa dhahabu aitwaye Sajid Abdalah Hassan ambaye walimkamata akiwa na dhahabu kiasi cha kilogramu 319.59, yenye thamani ya mabilioni ya shilingi za kitanzania.Askari hao waliosimamishwa kazi ni;    E.4948 CPL Dani Isack Kasala    F.1331 CPL Matete...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - 6 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News