Askari Watano Wapewa Zawadi Ya 1,500,000 Baada Ya Kukataa Rushwa Kutoka Kwa Wachina Wamiliki Wa Mashine Za Kamali

Na.Faustine Gimu Galafoni ,Dodoma.Askari watano mkoani Dodoma wamepewa zawadi ya Tsh.Milioni Moja na Nusu kutoka kwa ofisi ya kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa baada ya kukataa rushwa ya Tsh.Milioni 1 Kutoka kwa Wamiliki wa Mashine za kuchezea kamali Raia wa China.  Akizungumza na waandishi wa habari Leo Februari 22,Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma Gilles Murroto  amewataja askari waliopewa Motisha hiyo ili waendelee kuchapa kazi zaidi ni Inspekta Ntilungila,F 3129 Coplo Edward,G 2856 D/C  Ahmed,G 1973 D/C Edward na wa tano ni askari mwenye No.G 6593 PC Stanley. ...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Friday, 22 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News